Uzinduzi wa Ripoti za Uwajibikaji

Uzinduzi wa Ripoti za Uwajibikaji

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Mstaafu) ambae kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU – Institute of Public Accountability Bw. Ludovick Utouh ametaja athari zinazoweza kujitokeza ikiwa Serikali itashindwa kutekeleza mapendekezo yanayotolewa na...